The XO
The XO
  • 424
  • 5 259 368

Відео

King Mususu na sifa na umuhimu wa mashangazi
Переглядів 82День тому
King Mususu na sifa na umuhimu wa mashangazi
Zai kijiwenongwa:Utamu wa mapenzi ya Uswazi huu.
Переглядів 71День тому
Zai kijiwenongwa:Utamu wa mapenzi ya Uswazi huu.
Zai kijiwe nongwa Mambo ya Uswahilini yakufurahia penzi,na hamtaachana.Utapendwa kweliiii
Переглядів 74День тому
Zai kijiwe nongwa Mambo ya Uswahilini yakufurahia penzi,na hamtaachana.Utapendwa kweliiii
Wanaume hao sio wakuolewa nao, Haya ndio mapenzi yao/kwanini wanapigwa
Переглядів 111Місяць тому
Wanaume hao sio wakuolewa nao, Haya ndio mapenzi yao/kwanini wanapigwa
Unamagumu unapitia ?Dj Kezz kutoka Kenya anamakubwa zaidi yako.Utayavuka
Переглядів 52Місяць тому
Unamagumu unapitia ?Dj Kezz kutoka Kenya anamakubwa zaidi yako.Utayavuka
Unaweza kuwa hivi na mpenzi wako?Hamtaachana kabisa
Переглядів 324Місяць тому
pictures by mrs barnaba and barnaba.
Mapenzi ya hivi yako kwa wachache,Msikilize Barnaba akimwelezea mke.
Переглядів 222Місяць тому
Mapenzi ya hivi yako kwa wachache,Msikilize Barnaba akimwelezea mke.
BARNABA:Aelezea mapenzi yake Kwa....hujayasikia popote.
Переглядів 105Місяць тому
BARNABA:Aelezea mapenzi yake Kwa....hujayasikia popote.
Kama unampenda mwanaume wako,hii niyakwake.
Переглядів 2,1 тис.3 місяці тому
Kama unampenda mwanaume wako,hii niyakwake.
Kinachomfanya mwanaume wako kukosa furaha ni hiki.
Переглядів 6373 місяці тому
Kinachomfanya mwanaume wako kukosa furaha ni hiki.
Abdulrazack kamtolea uvivu Diva.
Переглядів 5153 місяці тому
Abdulrazack kamtolea uvivu Diva.
Abdurazack ;Mwanamke yeyote atakayepita kwenye barabara zangu lazma atulie.
Переглядів 2,9 тис.3 місяці тому
Abdurazack ;Mwanamke yeyote atakayepita kwenye barabara zangu lazma atulie.
Meet Us walivyokutana/Nani alimwanza mwenzake?
Переглядів 4123 місяці тому
Meet Us walivyokutana/Nani alimwanza mwenzake?
Uzinduzi wa Malkia wa nguvu 2024 Leo hii Mjengoni.,Clouds Media
Переглядів 2983 місяці тому
Uzinduzi wa Malkia wa nguvu 2024 Leo hii Mjengoni.,Clouds Media
Sabra Machano,Mapenzi ya sasa yanaharibiwa na vitu vingi tunasindikizana
Переглядів 2894 місяці тому
Sabra Machano,Mapenzi ya sasa yanaharibiwa na vitu vingi tunasindikizana
Uliachwa akaolewa mwingine?Majibu haya hapa.
Переглядів 3604 місяці тому
Uliachwa akaolewa mwingine?Majibu haya hapa.
Acheni kuzalilishana,mwanaume achukuliwi anaamuwa..
Переглядів 2914 місяці тому
Acheni kuzalilishana,mwanaume achukuliwi anaamuwa..
Alijua nina Virusi Vya Ukimwi na bado alitaka nimpe na tukapendana tangu siku hii.....
Переглядів 1504 місяці тому
Alijua nina Virusi Vya Ukimwi na bado alitaka nimpe na tukapendana tangu siku hii.....
Kungwi:Wanaume hawa wakikumwagia wanachukua nyota yako
Переглядів 1 тис.4 місяці тому
Kungwi:Wanaume hawa wakikumwagia wanachukua nyota yako
Kungwi huyu hatari kafichua mazito,,,,
Переглядів 1,5 тис.4 місяці тому
Kungwi huyu hatari kafichua mazito,,,,
CELEBRITY DATE DIARY
Переглядів 396 місяців тому
CELEBRITY DATE DIARY
SHOLOMWAMBA,mimi sinaga mambo ya....
Переглядів 706 місяців тому
SHOLOMWAMBA,mimi sinaga mambo ya....
SHOLOMWAMBA niko tofauti namuwazia ....
Переглядів 266 місяців тому
SHOLOMWAMBA niko tofauti namuwazia ....
Kama una mpenzi na michepuko Ukikutana nae kimbia.
Переглядів 4026 місяців тому
Kama una mpenzi na michepuko Ukikutana nae kimbia.
Mambo machafu wanayofanya wasichana wa chuo sisi ni wahanga Kiredio.
Переглядів 2996 місяців тому
Mambo machafu wanayofanya wasichana wa chuo sisi ni wahanga Kiredio.
Kiredio anavyofurahi kuachanisha watu/mahusiano.
Переглядів 3936 місяців тому
Kiredio anavyofurahi kuachanisha watu/mahusiano.
Lulu Diva,Sijaolewa/Sina mahusiano na Khaan
Переглядів 1779 місяців тому
Lulu Diva,Sijaolewa/Sina mahusiano na Khaan
Kuhusu Single again,Sijui tatizo lilikuwa ni nini lakini aje mezani tutayaweka sawa.
Переглядів 7410 місяців тому
Kuhusu Single again,Sijui tatizo lilikuwa ni nini lakini aje mezani tutayaweka sawa.
Harmonize.Na matusi yote gari nimelipa juzi.,wasanii magari wananunulia kwa style hii.
Переглядів 9910 місяців тому
Harmonize.Na matusi yote gari nimelipa juzi.,wasanii magari wananunulia kwa style hii.

КОМЕНТАРІ

  • @rsshidmnkonje7432
    @rsshidmnkonje7432 10 годин тому

    Toeni ushauri sana Kwa wadada wa sasa

  • @rsshidmnkonje7432
    @rsshidmnkonje7432 10 годин тому

    Together we can

  • @user-mz2kx4fz7v
    @user-mz2kx4fz7v День тому

    Jaman mungu 2 atusaidie maana unaweza kumtibu mume wako kumbe mchepuko wake ndo anao akitoka anaenda kukuletea tenaa

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira День тому

      @@user-mz2kx4fz7v ndio maana nimuhimu kuzungumza na mwenzio

  • @eustacewilliam4437
    @eustacewilliam4437 2 дні тому

    So again be bless FA

  • @AikaKassa
    @AikaKassa 2 дні тому

  • @witnessmarley5391
    @witnessmarley5391 3 дні тому

    Mama hatariiiiiiiii uyu..

  • @user-hy9pp5rp9i
    @user-hy9pp5rp9i 4 дні тому

    Mm nina shoga yangu aligombana na mume wake bas mume akaondoka shoga akajiandaa kwa kuomba msamaha akafukiza maudi akajipamba kitanda kikatandikwa vizuri aliposikia mlango unafunguliwa anaingia nda akavua nguo zak zote akas uchi kitandan ful shanga mwanamme alipokuja hasira hazijaisha alimshonya kwa dharau na akamtimua toka apo katafute nguo uvae shenz ww kwakweli kuna wanaume hawadanganyik wakikerwa 😂😂😂😂

  • @ZenaHashimu
    @ZenaHashimu 7 днів тому

    Du hatari sana

  • @FloraMwavula
    @FloraMwavula 10 днів тому

    Umetisha mama❤❤❤

  • @magrethlukosi313
    @magrethlukosi313 11 днів тому

    Mususu wange❤❤

  • @inyunderembaka7018
    @inyunderembaka7018 12 днів тому

    Niko mjini nairobi kenya nitasaidikaje jameni naumwa hadi nazimia hata siezi fanya tendo la ndoa wala kuzaa

  • @user-hh6hv9bw1g
    @user-hh6hv9bw1g 19 днів тому

    Mungu akuweke nimekupenda bure ❤

  • @SumahiyaRamadhani
    @SumahiyaRamadhani 19 днів тому

    Masha Allah

  • @user-qv8zq3fy7f
    @user-qv8zq3fy7f 21 день тому

    Mama umetisha ❤❤nowadays lzma tutambue pesa kuna botu lapwezi kununua isipokuwa jali japo utu w mtu ata km haba kitu

  • @HaithamdaudyHaitham
    @HaithamdaudyHaitham 24 дні тому

    Samahan naweza kuuliza kitu

  • @RehemaKomba-ur2nl
    @RehemaKomba-ur2nl 24 дні тому

    Pole sana dada angu lakin mm nah is upitii magumu kama ninayo pitia mm

  • @lilianruth2298
    @lilianruth2298 24 дні тому

    Mume ameingie kwa nyumba kaanunua utafanya nini jamani

  • @AmanaIblahim-tt2ew
    @AmanaIblahim-tt2ew 25 днів тому

    Somo uko vizuri nimekuelewa

  • @Mwanahamisi-kl3jd
    @Mwanahamisi-kl3jd 26 днів тому

    Nimependa somo uko vzr

  • @Mwanahamisi-kl3jd
    @Mwanahamisi-kl3jd 26 днів тому

    Habr mama Namm nnashd km hyo ya pid unanisadiaje mama

  • @user-ot1ff7yq2l
    @user-ot1ff7yq2l 26 днів тому

    Toa bamba basi

  • @obrigadaobrigada6384
    @obrigadaobrigada6384 26 днів тому

    Mzee Mohamed mwinjuma mjato babaake mwanafa mwalimu wangu wa gitaa alinifundisha gitaa wakati akiwa anaimba malindi bendi ukikaa nae huez jua ka alitelekeza kichwa hivi ila maisha Yana Siri nying

  • @eliyambunda2071
    @eliyambunda2071 28 днів тому

    Samahan doctor et vidonge vya uzaz wa mpango vinasaidia kupanga homon

  • @SamawattiSamawatti
    @SamawattiSamawatti Місяць тому

    So kweli

  • @francoismalenge1373
    @francoismalenge1373 Місяць тому

    Hello 👏

  • @IreneAbuu-ub9fy
    @IreneAbuu-ub9fy Місяць тому

    Tunawezaje

  • @IreneAbuu-ub9fy
    @IreneAbuu-ub9fy Місяць тому

    Tunawezaje

  • @IreneAbuu-ub9fy
    @IreneAbuu-ub9fy Місяць тому

    Mbona mesijuikubana maumbile

  • @MatridaMheni
    @MatridaMheni Місяць тому

    Naomba namb Yako mama

  • @marymassawe8655
    @marymassawe8655 Місяць тому

    Makahaba ndio wanaohangaika na si wanandoa.

  • @kassimkipande1858
    @kassimkipande1858 Місяць тому

    👍👍👍

  • @emilianapaul8836
    @emilianapaul8836 Місяць тому

    Pole San lulu jaman kweli umepambana sana mungu afanyae njia atenda na kwako mamaaa pole eeee

  • @Rosemerry-kp3bg
    @Rosemerry-kp3bg Місяць тому

    M nahis napakiwa jmn maan

  • @ThomasMotto-xe1fn
    @ThomasMotto-xe1fn Місяць тому

    Wakati unafanya mambo ayo watoto nao wako wap kwa wakat uwo

  • @user-jg5xb4kp6e
    @user-jg5xb4kp6e Місяць тому

    Nimependa sana mafunzo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @JamilaHaji-hx2im
    @JamilaHaji-hx2im Місяць тому

    Maneno kuntu❤❤

  • @zuhurasaid2760
    @zuhurasaid2760 Місяць тому

    Jamani habari za hapo naomba sana no. Yake ya simu mimi nipo znz

  • @IbrahimMuya-hs1vl
    @IbrahimMuya-hs1vl Місяць тому

    Waambie hao mbilikira

  • @CatherineUpendo
    @CatherineUpendo Місяць тому

    Ushauri mzuri tatizo wote wapambanaji hayo utayafanya saa ngapi

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira Місяць тому

      Inaweza ikawa Mara moja moja sio lazima kila siku

  • @FrankYamaha-ks2cq
    @FrankYamaha-ks2cq Місяць тому

    Mama umeuw ninge kupat ww

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Magefrancis
    @Magefrancis Місяць тому

    😥😭 duuuh

  • @rogersjoh5350
    @rogersjoh5350 Місяць тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣SHOLOOOO

  • @sallymmbando2085
    @sallymmbando2085 Місяць тому

    Barnaba Hanaga mambo mengi.Raya kapata mume.

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 Місяць тому

    Mashaallah tabarakaah ❤nikweli my kaka ❤

  • @bisuraadamu6272
    @bisuraadamu6272 2 місяці тому

    Nahawa waume zetu wanao rudi saa 8 usiku tunafanyaje

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira 2 місяці тому

      Pole kwanini arudi saa nane,kuna kitu hakipendi nyumbani ndio maana anarudi muda wakulala,kaa nae umuulize kwa upole na upendo atakwambia.

  • @officialmkerewe
    @officialmkerewe 2 місяці тому

    Naba classic 😂😂😂😂😂

  • @saraqali3466
    @saraqali3466 2 місяці тому

    Mm naomb namb zko mn nnachng Moto hiyo naomb msaada wako

  • @saraqali3466
    @saraqali3466 2 місяці тому

    Dokt naomb namba zako mn imenitokea ivo

  • @shadahans
    @shadahans 2 місяці тому

    kweli hakuna atakae furahya kuletewa mke mwngne na mke wa kwanza ndio anaeumizwa zaid